DRC- USALAMA
DRC: Watu 28 wameuawa usiku wa kuamkia leo Jumatatu
Nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo, watu 28 wameuawa usiku wa kuamkia leo kwa kukatwa mapanga na kupigwa risasi na waasi wanaodaiwa kuwa wa ADF katika kijiji cha Makungwe, kilomita 60 kusini mashariki mjini Beni.Mwandishi wetu Erickson Luhembwe anaeleza zaidi
Imechapishwa:
Cheza - 01:21