Pata taarifa kuu
DRC- AJALI

DRC: Zaidi ya abiria 20 wamekufa maji baada ya boti kuzama katika ziwa Edward

Nchini DRC zaidi ya abiria 20 wameripotiwa kufa maji na wengine kadhaa kuokolewa alfajiri ya leo Ijuma, baada ya boti waliyokuwa wakisafiria kuzama katika ziwa Edward mjini Kyavinyonge ikielekea Kisaka, umbali wa kilometa 200 kusini mwa mji wa Beni, mkoani Kivu Kaskazini.Kutoka Beni, mwanahabari wetu Erickson Luhembwe, alitutumia ripoti ifuatayo….

Ramani ya DRC
Ramani ya DRC RFI
Kusambaza :
Ukurasa haipatikani

Maudhui unayojaribu kuyatafuta hayapatikani kwa sasa au yamekwishaondolewa.