Pata taarifa kuu
Tunisia Usalama

Tunisia : Wahamiaji 4 wazama Mediterranean

Zaidi ya wahamiaji 4 wamefariki wengine 10 wakikosa kujulikana walipo baada ya boti yao kuzama katika pwani ya Tunisia.

Pwani mwa Tunisia
Pwani mwa Tunisia AFP - -
Matangazo ya kibiashara

Mamlaka nchini humo zimesema wahamiaji hao walikuwa wanajaribu kuvuka bahari ya Mediterranean kuekelea nchini Italia.

Hata hivyo mamlaka nchini humo pia zimefanikiwa kuwaokoa wahamiaji wengine 44, ambao walikuwa kwenye boti hiyo iliozama na mbayo, ilikuwa imebeba idadi ya watu wanaozidi uwezo wake.

Mamia ya wahamiaji wamekuwa wakizama katika pwani hiyo ya Tunisia kutokana na boti kubeba idadi ya watu wengi kinyume na inavyotakina au mawimbi makali.

Kusambaza :
Ukurasa haipatikani

Maudhui unayojaribu kuyatafuta hayapatikani kwa sasa au yamekwishaondolewa.