Pata taarifa kuu
SOMALIA-USALAMA

Somalia : Wabunge wajikuta katika hali ya sintofahamu baada ya kushambuliwa

Bunge nchini Somalia, limeshambuliwa na kilipuzi, wakati wabunge wapya walikuwa wamekutana hapo jana, ikiwa ndio kikao chao cha pili, baada ya kuapishwa wiki iliyopita. 

Mji mkuu wa Somalia, Mogadishu.
Mji mkuu wa Somalia, Mogadishu. STUART PRICE / AU-UN IST PHOTO / AFP
Matangazo ya kibiashara

mkali, wakati wabunge walikuwa wanakutana kupanga tarehe ya kuwachagua maspika wa mabunge yote mawili. 

Wakati huu, wabunge wanapojiandaa kumchagua rais na kumaliza mvutano wa kiasa nchini humo, kundi la Al Shabab linasalia kuendelea kuwa hatari kwa usalama wa nchi hiyo ya pembe ya Afrika. 

Shambulio hilo limelaaniwa na Tume ya Umoja wa Mataifa nchini Somalia UNSOM, na kusema inasomama na watu wa Somalia hakuhakikisha kuwa mchakato wa kisiasa unamalizika. 

Kusambaza :
Ukurasa haipatikani

Maudhui unayojaribu kuyatafuta hayapatikani kwa sasa au yamekwishaondolewa.