Mjadala wa wiki juma hili, tunajadili hali ya kisiasa na usalama nchini Nigeria kuelekea uchaguzi wa urais tarehe 14 mwezi wa Februari mwaka 2015 ushindani ni kati ya rais Goodluck Jonathan wa chama cha PDP na Muhammadu Buhari wa chama cha APC.Je, tishio la usalama kutokana na mashambulizi ya mara kwa mara ya Boko Haram yana athari yoyote kuelekea uchaguzi huo ?Martin Oloo na Abdulkarim Atiki wanachambua.