Pata taarifa kuu
Mtazamo Wako Kwa Yaliyojiri Wiki Hii

Jarida la vibonzo lachapicha toleo lenye kibonzo cha mtume Muhammad, na Sheria ya uchaguzi nchini DRC

Imechapishwa:

Katika Makala haya wiki hii habari zilizopewa Uzito hapa Idhaa ya Kiswahili ya Radio France Internationale ni pamoja na kuchapishwa kwa toleo la kwanza la jarida la vibonzo, la Charlie Hebdo jijini Paris, nchini Ufaransa lenye kibonzo cha mtume muhamad kwenye ukurasa wake wa mbele, na hii siku chache baada ya shambulio la ofisi za jarida hilo. Tukio ambalo litachukua nafasi kubwa katika makala haya.Kwingineko duniani, tuliangazia Juu ya upinzani nchini DRC kupinga sheria mpya ya uchaguzi nchini humo. Hatua ya serikali ya Tanzania kupiga marufuku wapiga ramli na suala la uketeteji nchini humo, lakini pia ziara ya kiongozi wa kanisa katoliki duniani Papa Francis katika nchi kadhaa barani Asia.Ungana na mwandishi wetu Ruben Lukumbuka, kusikiliza makala haya,................

Sayari ya dunia
Sayari ya dunia
Vipindi vingine
Ukurasa haipatikani

Maudhui unayojaribu kuyatafuta hayapatikani kwa sasa au yamekwishaondolewa.