UGANDA-Vyombo vya sheria
Uganda : mahakama zanyooshewa kidole kwa rushwa
Serikali ya Uganda imeanza juhudi za kukabiliana na ufisadi kwenye mahakama za nchi hiyo baada ya kuripotiwa kukithiri visa vya ulaji rushwa na majaji nchini humo.Raia wengi nchi Uganda wanakiri kushindwa kupata haki katika Kesi nyingi zinazosikilizwa mahakamani kwa sababu ya rushwa.
Imechapishwa:
Cheza - 02:57