Pata taarifa kuu
DRCongo-Mapambano

Hofu yazuka Mashariki mwa DRCongo

Kumezuka hali ya wasiwasi nchini Jamhuri ya kidemokrasia ya kongo katika mji wa Walikale katika mkoa wa Kivu kaskazini kufuatia kuripotiwa kwa mapigano kati ya wapiganaji wa Mai Mai wanaopigana na waasi wa kundi la FDLR kutoka nchini Rwanda.Mashirika ya haki za binadamu nchini humo yamesema kuwa hali imezidi kuwa mbaya kaika eneo hilo huku maelfu ya wananchi wakiripotiwa kuukimbia mji huo. 

Wapiganaji wa DRCongo
Wapiganaji wa DRCongo
Kusambaza :
Ukurasa haipatikani

Maudhui unayojaribu kuyatafuta hayapatikani kwa sasa au yamekwishaondolewa.