Pata taarifa kuu
Uganda

Viongozi wa makanisa nchini uganda wawakosoa wanasiasa

Viongozi wa Makanisa nchini Uganda wamegeuka mbogo na kukosoa vikali wanasiasa wa taifa hilo kwa namna ambavyo wameweka mbele masuala yao ya kisiasa na kusahau wajibu wao wa kushughulikia masuala yanayowahusa wananchi ikiwemo ufisadi.

Uganda
Matangazo ya kibiashara

Kauli hiyo imetolewa katika sherehe za miaka kumi ambayo imefanywa na makanisa nchini Uganda ambapo wametoa mfano wa kubadilisha kwa baadhi ya vipengele vya katiba kwa faida yao huku wakigawana msitu wa Mabira.

Askofu Mkuu wa Kanisa la Kiorthodox nchini Uganda Jonah Lwanga amekuwa ni miongoni mwa wale ambao wamehudhuria sherehe hizo na kutoa kalipio kwa wanasiasa.

 

Kusambaza :
Ukurasa haipatikani

Maudhui unayojaribu kuyatafuta hayapatikani kwa sasa au yamekwishaondolewa.