Pata taarifa kuu
DRC

Watu zaidi ya 90 wamekufa nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo kufuatia ajali ya ndege

Watu zaidi ya hamsini wanashukiwa kufa na wengine hamsini wamenusurika kifo kufuatia ajali ya ndege ya shirika la Goma, Hewa Bora kuanguka katika eneo la kisangani muda mfupi wakati ikijaribu kutua.

Moja ya ndege ya shirika la Hewa Bora la nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo iliyoanguka Kisangani
Moja ya ndege ya shirika la Hewa Bora la nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo iliyoanguka Kisangani Online
Matangazo ya kibiashara

Mkurugenzi wa shirika la Hewa Bora, Stavros Papainou amesema kuwa ndege hiyo ilijaribu kutua katika uwanja wa kimataifa wa Kisangani lakini rubani wa ndege hiyo alishindwa kufanya hivyo kutokana na hali mbaya ya hewa.

Maofisa usalama mjini Kinshasa wamesema kuwa mpaka sasa mii li ya watu 90 imepatikana huku walionusurika wanamajeraha makubwa mwilini na kuongeza kuwa huenda vifo hivyo vikaongezeka.

Ndege hiyo aina ya boing 727 ilikuwa na abiria 112 waliokuwa wakisafiri nayo kutoka mjini Kinshasa kuelekea kisangani..

Kusambaza :
Ukurasa haipatikani

Maudhui unayojaribu kuyatafuta hayapatikani kwa sasa au yamekwishaondolewa.