Pata taarifa kuu
Tunisie-Ben Ali

Kesi ya madawa ya kulevya dhidi ya rais wa zamani wa Tunisia kusikilizwa jumatatu

Mahakama moja nchini Tunisia leo inatarajiwa kuanza kusikiliza kesi ya dawa za kulevya na umilikishaji wa silaha kinyume cha sheria inayomkabili rais wa zamani wa nchi hiyo Zine el Abadine Ben Ali.

Rais wa zamani wa Tunisia Ben Ali
Rais wa zamani wa Tunisia Ben Ali Afrik-online
Matangazo ya kibiashara

Hata hivyo wanasheria wanaomtetea Beni Ali wamepinga kuanza kusikilizwa kwa kesi hiyo wakiitaka mahakama kutoa muda zaidi kwa uapnde wao kuweza kuandaa ushahidi wa kutosha unaomsafisha mteja wao.

Kesi hiyo inaanza kusikilizwa huku Ben Ali mwenyewe na mkewe Leila Trabelsi wakishindwa kuhuduhuria wakiwa uhamishoni nchini Saudi Arabia.
 

Kusambaza :
Ukurasa haipatikani

Maudhui unayojaribu kuyatafuta hayapatikani kwa sasa au yamekwishaondolewa.